Habari njema OKX Tanzania Community!
Kesho, siku ya Jumatano, tutakuwa na darasa maalum la mtandaoni (virtual class) kupitia Google Meet, ambapo tutajifunza na kujadili kwa kina masuala mbalimbali kuhusu OKX Exchange. Hili ni darasa muhimu kwa mtu yeyote anayependa kujifunza biashara ya crypto, usalama wa akaunti, na matumizi sahihi ya exchange moja ya kimataifa.
Katika darasa hili, tutapitia kwa undani muongozo ufuatao:
1. OKX Exchange ni nini โ tutaelezea maana yake, madhumuni yake, na kwa nini ni moja ya exchange zinazoaminika duniani.
2. Namna ya kujisajili na kufungua akaunti ya OKX Exchange โ hatua kwa hatua, pamoja na kufanya verification (KYC) kwa urahisi na kwa kuzingatia usalama wa hali ya juu wa akaunti yako.
๐ Kabla ya darasa kuanza, tafadhali hakikisha tayari umejisajili na kufungua account yako ya OKX kupitia link hii:
Link: https://okx.com/join/30189513
Referral Code: 30189513
3. Tutachambua features na huduma mbalimbali zinazopatikana ndani ya OKX Exchange, ikiwemo trading, earning options, security tools, na huduma nyingine muhimu kwa mtumiaji wa kawaida hadi wa kitaalamu.
๐ Muda wa darasa: Saa nne (4:00) jioni
๐ Mahali: Google Meet
๐ Google Meet invite (imeunganishwa kwenye kalenda yako):
https://calendar.app.google/CfJcrrPWPeNcxEZAA
Karibuni sana wote tujifunze kwa pamoja. Usisite kushare ujumbe huu kwa rafiki au mtu yeyote anayependa kujifunza zaidi kuhusu OKX Exchange na masuala ya blockchain technology kwa ujumla. Elimu ni nguvu! ๐