Damus
nostrich profile picture
nostrich
Tarehe 23/01/2026, POWA 255 na @nprofile1q... kwa kushirikiana na @nprofile1q... walifanikisha mpango wa Reusable Menstrual Pads.

Katika mpango huu, pedi zinazoweza kutumika tena zilitengenezwa na kugawiwa kwa wanafunzi takribani 42 wa Shule ya Sekondari Manushi, iliyopo Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.


♻️📦 Pedi hizi zitawasaidia wanafunzi kuendelea kukaa shuleni kipindi chote cha hedhi kwa hadi miaka mitatu, bila vikwazo wala kukosa masomo.

🤝 Wewe pia unaweza kuwa sehemu ya mabadiliko haya
Support kwa kumnunulia mwanafunzi mfuko mmoja wa pedi kupitia @nprofile1q...

https://geyser.fund/project/hedhihuru/posts/view/5473?mtm_campaign=project-share&mtm_keyword=hedhihuru-post-5473&mtm_source=visitor&mtm_medium=geyser&mtm_content=post-share-button